[caption id="attachment_51619" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na waandishi wa habari, leo Machi 15, 2020 Jijini Dodoma[/caption]
Na Mwandishi Wetu, Machi 15, 2020.
Serikali itawachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kushiriki kuvujisha na upotevu wa mapato katika Uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa mechi za mpira wa miguu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Kati...
Read More