RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa mkono wa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Balozi Mstaafu Job Malecela Lusinde aliyefariki dunia alfajiri ya Jumanne Julai 7, 2020.
Rais Dk. Shein alifika nyumbani kwa marehemu Balozi Mstaafu Job Lusinde majira ya asubuhi huko katika Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma mbapo alitoa mkono wa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki ikiwani pamoja na kumpampole Mjane wa Marehemu Sara Lusinde.
Akitoa mkono wake wa pole Rais Dk. Shein aliel...
Read More