Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika jijini Dar es salaam. Kauli mbiu kwa mwaka huu ni; “Kila Mmoja Anahusika katika Kujenga Uchumi Imara, Ustawi na Maendeleo Endelevu: Jiandae Kuhesabiwa”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuweka mifumo imara ya kitaasisi na kisheria itakayowapa vija...
Read More