Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza wakati akifunga Warsha ya Uhamasishaji wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maudhui bora ya ndani, leo Septemba 16, 2022 Jijini Dar es Salaam
Na Shamimu NyakiKatibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amefunga Warsha ya Uhamasishaji wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maudhui bora ya ndani, leo Septemba 16, 2022 Jijini Dar es Salaam ambayo imeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Dkt. Abbasi amefunga Warsha hiyo kwa Niaba ya Wazir...
Read More