Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula akizungumza na wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa stendi ya mabasi na maegesho ya malori kwenye eneo la Nyamhongolo Ilemela Mwanza uliofaywa na Makamu wa Rais, Mhe, Dkt. Phillip Isdori Mpango.
Na Munir Shemweta, MWANZA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula amemshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuiwezesha wizara yake kupata fedha kiasi cha Shilingi bilioni 50 kwa ajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilik...
Read More