Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akijibu maswali ya Waheshimiwa Wabunge, bungeni Dodoma leo Septemba, 2022.
Na Shamimu Nyaki
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Pauline Gekul, amesema kiasi cha Shilingi milioni 183.5 zimetengwa katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuhudumia timu za Taifa.
Mhe. Gekul ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma leo Septemba 22, 2022 wakati akijibu swali la Mhe. Janeth Elius Mahawanga (Viti Maalum) aliyeuliza ni lini Serikali itawekeza katika Sekta ya Michezo has...
Read More