Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru
Na Mwandishi Maalum - Cape Town, Afrika Kusini
Taasisi 11 zinazotoa mikopo ya elimu ya juu barani Afrika zinatarajia kuanza mkutano wao wa kimataifa wa siku nne utakaoanza kesho Jumatatu Septemba 25, 2022, Cape Town, Afrika Kusini ambapo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki mkutano huo unaojadili uzoefu uliopatikana kutokana na janga la ugonjwa wa UVIKO 19.
Akizungumza moja kwa moja kutoka Cape Town, Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul...
Read More