Na Grace Michael, Kigoma
MWENYEKITI wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mama Anne Makinda amesema, kuwa NHIF haItamvumilia yoyote atakayejaribu kuhujumu huduma za mfuko huo kwa manufaa yake binafsi na badala yake atahakikisha unaendelea kunufausha wanachama kwa ujumla.
Mama Makinda ameyabainisha hayo hivi karibuni Mkoani Kigoma wakati akizindua mpango wa huduma za Madaktari Bingwa unaotekelezwa kwa wiki nzima katika mikoa ya Kigoma na Geita kwa ushirikiano wa Mfuko na Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto....
Read More