Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu Nchini Wazindua Rejista ya Wanaohisiwa Kuwa na Kifua Kikuu
Jul 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5826" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikari za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akikata utembe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Rejista mpya ya wanaohisiwa kuwa na Kifua kikuu ambayo itaanza kutumika kwenye vituo vyote vya kutolea huduma, wakati wa Mkutano wa mwaka wa Waganga wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya unaoendelea Mjini Dodoma, Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangwalla[/caption] [caption id="attachment_5827" align="aligncenter" width="750"] Dkt.Hamisi Kigwangwalla akisoma moja ya Rejista hiyo ambayo imezinduliwa rasmi leo,kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI, George Simbachawene na aliyesimama kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula[/caption] [caption id="attachment_5830" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI, George Simbachawene akimkabidhi Rejista hiyo Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI upande wa Afya Dkt. Zainabu Chaula[/caption] [caption id="attachment_5831" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athumani Masasi wakipeana Rejista hiyo na Mwenyekiti wa Waganga Wakuu wa Mikoa ambaye ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dkt. Leonald Subi (kulia)[/caption] [caption id="attachment_5832" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athumani Masasi akiwa na Mkurugenzi toka Global Fund - Geneva Dkt. Osamu Kunii mara baada ya Kukabidhiwa Rejista hiyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI, George Simbachawene(hayupo pichani). (Picha zote na Wizara ya Afya)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi