Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wataalamu wa kitanzania kutokuwa chanzo cha kukwamisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa nchini yenye lengo la kuleta maendeleo kwa taifa.
Akizungumza leo Alhamisi (Septemba 27, 2018) Jijini Dar es salaam, wakati akifungua rasmi barabara ya juu ya Patrick Mfugale iliyopo katika makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere, Rais Magufuli alitoa wito kwa wataalamu wa kitanzania wasiwe chanzo cha kukwamisha miradi mbalimbali kwa kuwa miradi hiyo ina lengo la kuw...
Read More