Afisa Mwandamizi wa Malipo, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma,(PSSSF), Bi.Nyangi Masalu (kulia), akimuhudumia aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuendeleza Bisahara Nchini (Tan Trade), ambaye sasa ni Mstaafu na Mwanachama wa PSSSF, Bi.Jacqueline Mneney Maleko (kushoto), alipofika kwenye banda namba 13 la PSSSF/NSSSF viwanja vya Sabasaba barabaar ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yanafunguliwa rasmi hii leo Julai 2, 2019.
Afisa Matekelezo Mwandamizi wa PSSSF, Bw. Donald Pe...
Read More