[caption id="attachment_44857" align="aligncenter" width="750"]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua rasmi na kutembelea maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara katika Viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]