Adelina Johnbosco - MAELEZO
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA. Charles Kichere amesema kuwa matumizi ya fedha kwa taasisi za ummma na Serikali Kuu hayazingatii mapendekezo na taratibu za miongozo iliyowekwa katika matumizi ya fedha.
Amebainisha hayo leo Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi aliyowasilisha bungeni leo Aprili 6, 2020 kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30, Juni, 2019 ambayo ni ukaguzi wa hesabu za Serikali Kuu, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma, Mi...
Read More