[caption id="attachment_52208" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB), ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Dkt Masatu Chiguma (wa kwanza kulia), akizungumza jambo kwenye kikao cha dharura kilichofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), kilichojadili madhara ya awali yaliyosababishwa na ugonjwa wa homa kali ya Mapafu (COVID19) inayoambukizwa na virusi vya corona.[/caption]
Na Bahati Mollel,TAA
Bodi ya U...
Read More