[caption id="attachment_37508" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF leo Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo leo.[/caption]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kusimamia mapato kwa kutumia mifumo ya kielektroniki.
Akizungumza hii leo, Jijini...
Read More