Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika picha uzinduzi wa Bodi ya wadhamini ya mfuko wa pensheni wa NSSF
Oct 27, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_37508" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF leo Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo leo.[/caption]

Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Masawe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF leo Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF  Balozi Ali Idi Siwa akizungumza  leo  Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi  wa Bodi hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF  Balozi Ali Idi Siwa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi hiyo leo Jijini Dodoma mara baada ya kuzinduliwa kwake.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. William Erio akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya mfuko huo  leo Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. William Erio akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya mfuko huo  leo Jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wa Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa NSSF wakifuatilia hafla hiyo leo Jijini Dodoma.

Mmoja wa wajumbe wa Bodi ya wadhamini ya mfuko wa Pensheni wa NSSF Bi. Jane  Nyimbo akisisitiza jambo kwa   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF  Bw. William Erio leo Jijini Dodoma mara baada ya kuzinduliwa kwa Bodi ya mfuko huo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye  Ulemavu  Mhe. Jenista   Mhagama akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Dkt. Irene Isaka mara baada ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini  ya NSSF  leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu  Mhe. Jenista   Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya mfuko wa NSSF leo Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfuko huo.

 

Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa  mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Suleiman Msangi akiteta   jambo na  Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa mfuko huo Bw. Nurdin Mruma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi