[caption id="attachment_43427" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Paul Rwegasha (aliyesimama) akielezea mikakati iliyowekwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), ya namna ya kutekeleza agizo la serikali la katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watumiaji wa viwanja vya ndege nchini. Wapili kushoto ni Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Manchare Heche.[/caption]
Na. Mwandishi Wetu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamiz...
Read More