Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Picha Bungeni Leo Aprili 24, 2019
May 24, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43417" align="aligncenter" width="739"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akisisitiza jambo kwa Waziri wa Fedha na Mipango leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43418" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omary Mgumba leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43419" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa haki za watoto zinalindwa ikiwemo kuwalinda dhidi ya vitendo vya udhalilishaji leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43420" align="aligncenter" width="734"] Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akieleza hatua zilizofikiwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na nishati ya umeme katika maeneo yote ya Vijijini na mijini ambayo hayajafikiwa na nishati hiyo.[/caption] [caption id="attachment_43421" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akisisitiza jambo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43422" align="aligncenter" width="750"] . Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo akiwemo Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bi. Magreth Ikongo (wapili kutoka kulia) hayo yamejiri Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_43423" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Naibu wake Mhe. Costantine Kanyasu (kulia) wakifuatilia hoja za wabunge leo Bungeni wakati wakichangia hoja ya bajeti ya Wizara hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]

(Picha zote na Frank Mvungi)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi