Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza katika kikao cha uwasilishwaji wa taarifa kuhusu hali ya VVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na magonjwa yasiyo ambukiza Agosti 12, 2021 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI Jijini Dodoma.
Na Richard Mwamakafu, WHUSM
Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ikiongozwa na Waziri wake, Mhe. Innocent Bashungwa imewasilisha taarifa kuhusu hali ya VVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na magonjwa yasiyo ambukiza Agosti 12, 2021 kwa Kamati ya Kudumu ya B...
Read More