Na. Lillian Shirima: MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeongeza kasi ya kutumia njia mbalimbali za kuelimisha jamii juu ya ugonjwa wa Uviko-19 ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa huduma ya chanjo nchini kote ili kuzuia vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.
Afisa Program na Mratibu wa Kamati ya Maudhui, Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Idara ya Kinga, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bwana Saimon Nzilibili amesema hayo wilayani Bagamoyo katika Ki...
Read More