Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari katika mkesha wa kuelekea siku ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, jana tarehe 08 Desemba 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Na. John Mapepele
Rais wa Jamhuri ya Tanzania. Mhe, Samia Suluhu Hassan kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru leo Disemba 9, 2021 amesema Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye lugha ya Kiswahili.
Rais Samia ameyasema haya jana usiku Disemba 8, 2021 jijini Dar es...
Read More