Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akifungua kikao cha tathmini ya Mkutano wa 66 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali za Wanawake Duniani na Mkutano wa G7, Mikutano ambayo Mhe. Waziri alihudhuria akiwa na wataalam wa Tanzania kwa Nyakati Tofauti nchini Marekani na Ujerumani.
Na WMJJWM- Dodoma
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho wa mikutano miwili ya Kimataifa aliyoshiriki ikiwemo Mkutano wa 66 wa Kamis...
Read More