Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akicheza wakati wa wimbo wa Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Katoliki la Singida, wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bw. Peter Serukamba, hafla iliyofanyika Mkoani Singida.
Na. Peter Haule, WFM, Singida
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba ameziomba taasisi za Dini kuendelea kumuombea Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, ili aendelee kuiongoza nchi vizuri na kutimiza dira yake ya uwekezaji katika sekta ya uzalishaji, kutengeneza ajira, kukuza uchumi na kuj...
Read More