Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akijibu maswali Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 30,2022.
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza kujenga vituo vipya vya Askari wa Wanyamapori katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kudhibiti wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) Bungeni jijini Dodoma leo Juni, 30, 2022 alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kaskazini, Mhe. Francis Ndulane aliyetaka kujua mpa...
Read More