Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles Mahera Mmra baada ya Kuwasili katika ofisi za Tume ya Taifa kwa ziara ya kikazi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele (Kushoto), akiwa na wageni wake Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana (Kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga (anaye...
Read More