Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakipata maelezo wakati wa ziara yao ya kutembelea Reli ya Kisasa (SGR) katika eneo la kituo kikuu cha reli hiyo jijini Dar es salaam kinachojulikana kama Tanzaniate.
Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dar es Salaam
Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) unaotekelezwa na Serikali nchini utawanufaisha watanzania wote moja kwa moja ikiwa ni ajira kwa upande wa reli yenyewe, kilimo, ama biashara hatua inayosaidia kuinua kipato na uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Kwa...
Read More