[caption id="attachment_43165" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwasha umeme kwenye nyumba ya mmoja wa wananchi wa kijiji cha Lewa, Korogwe Vijijini, akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme, Mei 19 mwaka huu.[/caption]
Na Veronica Simba - Korogwe
Serikali imesema changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara wanayoipata wananchi wa Korogwe inafanyiwa kazi na itaisha ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja kuanzia sasa, hivyo wawe wenye subirá na waondoe ho...