[caption id="attachment_40668" align="aligncenter" width="1000"] Timu ya wataalam wa nishati kutoka Tanzania, inayoshiriki katika mkutano unaojadili kuhusu mifumo ya kusafirisha umeme iliyounganishwa katika nchi za Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool – EAPP), mjini Entebbe, Uganda. Kamishna wa Umeme na Nishati Mbadala, Mhandisi Innocent Luoga (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito Mwinuka (wa pili – kulia), Mhandisi Christopher Bitesigirwe kutoka Wizara ya Nishati (kulia), Mhandisi Meksesius Kalinga kutoka TANESCO (ku...
Read More