[caption id="attachment_48885" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akiagana na Kaimu Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayehusika na miundombinu ya Nishati Bw. Wale Shonibare, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Benki hiyo, Jijini Johannesburg, Afrika Kusini.[/caption]
Na Benny Mwaipaja, Johannesburg
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kuendelea kuisadia Tanzania kutekeleza miradi yake mikubwa ya kimkakati hususan miun...
Read More