[caption id="attachment_34019" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani akizungumza katika kikao cha Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali zinazoshiriki katika utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa Unzalishaji umeme wa maji wa Rufiji Hydropower Project leo mkoani Morogoro. Kutoka kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maeendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia...