Na Jacquiline Mrisho.
Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamekumbushwa umuhimu wa kuishauri Mamlaka yao ili iweze kufanya vizuri zaidi katika shughuli zake.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mohammad Kambi ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Prof. Kambi amesema kuwa kikao hicho kinatoa fursa kwa watumishi kujadiliana juu ya masuala mbalimbali ya msingi yanayohusu tija na ufanisi wa mamlaka pam...
Read More