Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijadili jambo wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akiteta jambo na Mbunge wa Mikumi Mhe.Joseph Haule wakati wa kikao cha ishirini cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
Read More