[caption id="" align="aligncenter" width="640"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Balozi wa Finland nchini, Mhe. Peka Huka wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Mafunzo ya Misitu na Uchakataji wa Magogo kilichoanzishwa mwezi Desemba, 2016 katikamji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa chini ya ufadhili wa Serikali ya Finland katika hafla iliyofanyika jana mkoani humo.[/caption]
Na: Hamza Temba-WMU-Iringa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amefungu...
Read More