Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua pikipiki zilizotelekezwa kwenye stoo ya Wakala wa Maji na usafi na Mazingira Vijijini, (RUWASA) Mkoa wa Lindi, alipofanya ziara katika ofisi za Mamlaka hiyo zilizopo Manispaa ya Lindi Januari 8, 2024. Pikipiki hizo zilinunuliwa mwaka 2021 kwa ajili ya kuzigawa kwa Jumuiya za Watumiaji maji Mkoa wa Lindi.
Read More