[caption id="attachment_41210" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akitembelea maeneo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi ambacho hivi karibuni kimepokea Shilingi Milioni Mia Saba kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya chuo hicho,Wengine ni viongozi wa chuo.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi nchini limeelekezwa kutumia wafungwa ili kuweza kuokoa kiasi cha Shilingi Milioni Mia Mbili kati ya Milioni Mia Saba zilizotolewa na Rais Dk. John M...
Read More