Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa Vyama vya Siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.
“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu ameyasema hayo Aprili 1, 2020 akiwasilisha Bungeni h...
Read More