Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akieleza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Dawa za Kulevya wakati wa semina kwa wajumbe wa Kamati Februari 4, 2021 Bungeni Jijini Dodoma.
Na Mwandishi Wetu- Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amesema kuwa huduma za tiba na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi...
Read More