Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Mji wa Serikali chenye hadhi ya daraja A, Mtumba Jijini Dodoma, Desemba 2, 2021. Uzinduzi wa kituo hicho ni miongoni mwa matukio ya maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro, wa pili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Mji wa Serikali chenye hadhi ya daraja A, Mtumba Jijin...
Read More