[caption id="attachment_26543" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza Mfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Desemba, 2017. Kulia ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Bei na Ajira, George Milinga.[/caption]
Na Emmanuel Ghula
MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba, 2017 umepungua hadi asilimia 4.0 kutoka asilimia 4.4 ilivyokuwa mwezi Novemba, 2017.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Mkurugen...
Read More