[caption id="attachment_28222" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson akisoma dua ya kuliombea Bunge katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
[/caption]
[caption id="attachment_28224" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Suzan Kolimba na Naibu Waz...
Read More