[caption id="attachment_28366" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo akisikiliza maelezo kutoka kwa mshauri muelekezi wa mradi maji wa Ng'apa Mkoani Lindi bw.Colman Ngainayo (wakwanza kulia), wakati wa ziara yake yakukagua mradi huo wenye thamani ya Euro milioni 11.7 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali, mradi huo utawanufaisha wakazi wa Lindi mjini kuanzia leo Februari mosi, kushoto ni meneja wa mradi huo kutoka Kampuni ya OIA ya nchini india Bw. Rajeev Rai.[/caption]...
Read More