[caption id="attachment_29274" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kinachoendelea Jijini Arusha.[/caption]
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Arusha.
Watendaji wa Taasisi za Umma nchini zikiwemo Serikali Kuu na Mamlaka za Serikali za Mitaa na Tawala na Mikoa zimetakiwa kuweka kipaumbele katika kuwapatia vifaa vya kisasa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusi...
Read More