[caption id="attachment_39794" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq Badru (katikati) akiongea jijini Dar es salaam leo, Jumanne, jJn. 15, 2019 wakati wa uzinduzi malipo ya mikopo ya elimu ya juu kupitia Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato (GePG). Kulia ni Mwakilishi wa Wizara ya Fedha, Kitengo cha GePG Basil Baligumya na kueshoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo wa HESLB Ignatus Oscar (Picha na HESLB).[/caption]
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekusanya jumla ya TZS 94.01...
Read More