[caption id="attachment_51289" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda ya kuchunguza zao la mkonge, Gerlad Kusaya baada ya taarifa hiyo kusomwa mbele ya Waziri Mkuu katika kikao kati ya Waziri Mkuu na watumishi na viongozi wa Halmashauri za Mkoa waTanga kilichofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali katika tasnia ya kilimo cha mkonge mkoa...
Read More