[caption id="attachment_51452" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na wanawake wajasiriamali mkoani Simiyu wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Wanawake Wajasiriamali kuelekea Siku ya Wanawake Duniani.[/caption]
Na Mwandishi Wetu Simiyu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezindua maonesho ya wajasiriamali na huduma na kuwataka wakazi wa Simiyu kujitokeza kuchangamkia fursa hasa wanawake ili kujikwamua kiuchumi....
Read More