[caption id="attachment_52203" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuzindua safari za ndege za mizigo kwenda nje ya nchi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro.[/caption]
KADCO yajenga chumba cha barafu chenye uwezo wa kubeba tani 110
Na Prisca Ulomi, WUUM, KIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua safari za ndege za mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuwawezesh...
Read More