Aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiagana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kukabidhi ofisi katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, Dodoma
Aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile leo tarehe 20.09.2021 amekabidhi rasmi ofisi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji na...
Read More