Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Dkt. Ashatu Kijaji amezungumza na wajumbe wa Mkutano wa ALAT unaojumuisha Mameya, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kwenda kutekeleza Mfumo wa Anwani za...
Read More