Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza katika Uwanja wa Ndege jijini Dodoma kabla ya kuanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kufanya uhamasishaji wa uwekaji Anuani za Makazi.
Na Immaculate Makilika – MAELEZO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye leo Aprili 11, 2022 ameanza ziara ya siku moja leo ya kukagua utekelezaji na kuhamasisha zoezi la Anwani za Makazi katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha .
Akizungumza mapema leo katika Uwanja wa Ndege jijini Do...
Read More