Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akitokea nchini Saudi Arabia mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini Oman, tarehe 16 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais, Dkt....
Read More